tanzia

Tunatoa Pole kwa Mama Mzazi wa Mbunge ‘Sugu’ Ambaye Amefarik Dunia Jana
Local News

Mama mzazi wa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi maarufu Sugu (CHADEMA), amefariki dunia jana Jumapili Agosti 26, katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), alikokuwa akipatiwa matibabu. Uongozi wa TV E na EFM Redio unatoa pole kwa Mbunge Sugu pamoja na Familia yake, Mungu hawaongoze kwenye kipindi hiki Kigumu....

1
458
0
Monday, 27 August 2018
Tanzia: Mtoto wa Munalove amefariki dunia
Local News

Familia ya Efm redio pamoja na @tvetanzania Inatoa pole kwa familia ya Muna kwa kuondokewa na Mtoto wao Patric. Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu, Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina lake lihimidiwe #Amin...

Like
610
0
Wednesday, 04 July 2018
no-cover
Local News

Mbunge wa Korogwe Vijijini (CCM), Steven Ngonyani maarufu Profesa Majimarefu amefariki dunia leo usiku Jumatatu July 2, 2018 katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH). Taarifa ya kifo cha mbunge huyo imethibitishwa na ofisa uhusiano wa Muhimbili, Aminiel Eligaeshi. June 6, 2018 mbunge huyo alifiwa na mkewe, Mariam aliyekuwa akipatiwa matibabu...

Like
1030
0
Tuesday, 03 July 2018
TANZIA: Aliyekuwa Kocha wa Yanga TANZIA: Aliyekuwa Kocha wa Yanga Jack ‘Africa’ Chamangwana afariki dunia afariki dunia
Sports

Kocha wa zamani wa Yanga, Jack ‘Africa’ Chamangwana amefariki dunia jana jioni Mei 6, 2018 baada ya kuugua ghafla na kulazwa katika Hospitali ya Malkia Elizabeth jijini Blantyre. Kocha huyo aliyefariki akiwa na umri wa miaka 61 ameripotiwa kuwa alikuwa akisumbuliwa na shinikizo la damu. Chamangwana aliyeifundisha Yanga mwanzoni mwa miaka ya 2000, alikuwa pia nyota wa zamani wa timu ya taifa ya Malawi. Mtalaam huyo alikuwa akifanya kazi na klabu ya Be Forward Wonderers inayoshiriki ligi kuu ya Malawi...

1
546
0
Monday, 07 May 2018