TCRA

Muda wa usajili Vyombo vya Habari Mtandaoni waongezwa
Local News

Mamlaka ya kudhibiti Mawasiliano nchini, TCRA imeongeza muda wa usijili kwa wamiliki wa vyombo vya habari mtandaoni {Blog, Radio au TV} ambao bado hawajapata leseni ya utoaji huduma hiyo kuwa tayari wawe wamekamilisha usajili huo mpaka ifikiapo June, 30, 2018. Katika Taarifa iliyotolewa na TCRA imesema ifikapo tarehe hiyo wale ambao bado watakuwa hawana leseni watatakiwa kuondoa hewani mitandao yao. Ameongezea kuwa hatua za kisheria zitachukuliwa kwa atakayeenda kinyume na agizo...

Like
700
0
Sunday, 17 June 2018