TFF

TFF YAONGEZA MPUNGA KWA BINGWA WA KOMBE LA FA
Sports

Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limeongeza zawadi ya mshindi wa Kombe la Shirikisho ‘Azam Sports Federation Cup’ ili kuzidi kuongeza hamasa ya mashindano hayo. Kwa mujibu wa Afisa Habari wa Shirikisho hilo, Clifford Ndimbo, amesema kuwa zawadi ya mshindi wa Kombe hilo atatwaa kiasi cha shilingi milioni 50 huku wa pili akichukumia milioni 10. Aidha, Ndimbo ameeleza kutakuwa na zawadi nyingine zitatoka katika vipengele mbalimbali ikiwemo ya mchezaji bora, mfungaji bora pamoja na mlinda mlango bora wa michuano hiyo. Ni...

Like
537
0
Thursday, 31 May 2018
MSEMAJI WA TFF ALEZEA KIPIGO CHA 4- 1 WALICHOKIPATA TAIFA STARS ALGERIA
Sports

NDIMBO: Kwanza niseme watu wanashindwa kutofautisha kati ya kufungwa na timu kucheza vizuri NDIMBO: Ingawa timu imefungwa lakini timu ilicheza vizuri. SWALI KUTOKA KWA OSCA OSCA: KWA NINI MASHBIKI WAMEPUNGUA KWENDA KUANGALI MECHI UWANJANI??? NDIMBO: Jambo hili lina mitazamo mingi sana kitu kikubwa ni kuja na research na kupata jibu sahii kwa jambo hili NDIMBO: Kwa upande mwingine mashabiki wenyewe hawana uzalendo wa timu zao kwenda uwanjani OSCA OSCA: Tulikuwa tunalalamika kwamba tunapata mechi za kirafiki na nchi vibonde NDIMBO:...

Like
507
0
Friday, 23 March 2018
MAPATO NA MATUMIZI TFF HADHARANI
Sports

  Rais wa shirikisho la miguu tanzania(TFF), WALLACE KARIA ameongea na waandishi wa habari za michezo, Leo hii jiji dar es salaam na kuwaeleza mambo yanayo endelea kwenye shirikisho hilo MAPATO Katika kipindi cha miezi Saba(7),Shirikisho limefanikiwa kukusanya kiasi cha Tzs 3,670,397,199.00 kutoka katika vyanzo vyake mbalimbali  ambavyo ni pamoja na mapato kutoka kwa wadhamini Tzs 2,295,472,151sawa na 62.5% ya mapato yote, makusanyo ya viingilio uwanjani Tzs 378,139,866 sawa na 10.3%. 27.2% ilitokana na Fedha kutoka CAF na FIFA....

Like
609
0
Monday, 19 March 2018