thailand

Wavulana 4 zaidi waliokwama pangoni Thailand 'waokolewa'
Global News

  Wapigaji mbizi kaskazini mwa Thailand wamewaokoa wavulana wanne zaidi kutoka pango lililofurika maji. Hii inaashiria kuwa kwa jumla, wavulana 8 wameokolewa salama huku watu watano wakiwa bado wamesalia ndani ya pango. Vijana hao 12 na kocha wao wa soka walikwama ndani ya pango tangu Juni 23 baada ya mvua kubwa kusababihsa mafuriko. Wanajeshi wa majini wa Thailand wanaoongoza operesheni hiyo wamethibitisha kuwa jumla ya wavulana 8 wameokoloewa salama. Wavulana 4 waliokolewa salama kutoka pangoni siku ya Jumapili. Lakini operasheni...

Like
658
0
Tuesday, 10 July 2018