Ujumbe wa Umoja wa Mataifa ulioko nchini Libya umetangaza mkataba wa kusitisha mapigano ambao umeafikiwa baina ya pande mbili ule wa serikali na viongozi wa kijeshi mjini Tripoli, pamoja na viongozi wa vikundi vidogo vyenye silaha nchini humo. Tangazo hilo limekuja baada ya siku nane za mapigano makali baina ya wanamgambo wa wapiganaji wanaohusishwa na mamlaka ya kimataifa kutambuliwa katika mji mkuu wa Libya na wengineo kutoka nje ya mji mkuu. Hili ni jaribio la tatu kufikiwa katika harakati za...