ummy mwalimu

Ummy aagiza dereva gari la wagonjwa asimamishwe
Local News

Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu ameagiza asimamishwe kazi, pamoja na maofisa waliokuwa wamepanda gari hilo Simiyu. Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amemuagiza Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Tarime, Elias Ntiruhungwa kumsimamisha kazi dereva wa gari la kubeba wagonjwa la halmashauri hiyo aliyekamatwa akiwa amepakia kilo 800 za mirungi. Kauli hiyo imetolewa leo Alhamisi Julai 12, 2018 katika uzinduzi wa mradi wa Tuwatumikie katika viwanja vya Halmashauri ya Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu. Amesema mbali na dereva huyo, maofisa waliokuwa...

Like
456
0
Thursday, 12 July 2018
Sababu ya serikali kupunguza bajeti ya Wizara ya Afya Hizi Hapa
Local News

 Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto imesema kuwa, kupungua kwa asilimia 19.6 bajeti ya wizara hiyo kwa mwaka 2018/19 ikilinganishwa na mwana 2017/18 kunatokana na dhamira ya serikali kutekeleza bajeti hiyo kwa kutumia fedha za ndani ya nchi. Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu akijibu hoja mbalimbali zilizoibuka ameeleza kuwa, wabunge walishauri serikali ipunguze utegemezi kutoka kwa wafadhili katika kutekeleza bajeti ya afya. Katika mwaka wa fedha 2017/18, bajeti ya wizara hiyo ilikuwa TZS 1.07 trilioni lakini...

Like
516
0
Monday, 23 April 2018