Vladimin Putin

VLADIMIR PUTIN ASHINDA TENA KITI CHA URAIS KWA KISHINDO
Global News

Rais wa Urusi Vladimir Putin ameibuka mshindi kuliongoza taifa hilo kwa muhula mwingine ujao wa miaka sita baada ya kujipatia ushindi mkubwa.Ushindi huo ulitarajiwa katika upigaji kura uliomalizika siku ya jumapili.Hata kabla ya kura zote kuhesabiwa tayatri alikuwa amejizolea asilimia 76 kwa mjibu wa tume ya uchaguzi. Akizungumza katika mkutano wa kutangazwa mshindi amsema ushindi wake ni matokeo ya hatua kubwa ya mafanikio aliyoyafikia katika uongozi wake. Putin ameongeza kuwa hii ni uthibitisho wa kukubalika kwa sera zake na kwamba...

Like
503
0
Monday, 19 March 2018