wanawake

Tangazo lililowahimiza wanawake kuzaa na wachezaji wa nje Urusi lashutumiwa
Global News

  Maduka maarufu ya vyakula nchini Urusi yameomba msamaha baada ya kutangaza zawadi ya dola 47,000 na 'burger' (mkate maalum uliotiwa nyama) maishani kwa mwanamke yeyote ambaye angejamiiana na kuzaa mtoto na mchezaji wa kandanda kutoka nchi za nje katika Kombe la Dunia. "Mwanamke ambaye atafanikiwa kupata jeni za mchezaji bora zaidi ataisaidia Urusi kupata mafanikio miaka inayokuja," tangazo hilo lilisema. Tangazo hilo lilizua hisia tofauti nchini Urusi ambayo ndiyo inaandaa Kombe la Dunia hali...

Like
459
0
Monday, 25 June 2018