watoto wa kike waishio

Timu ya Watoto wa Kike Waishio Mazingira Magumu Watoa Kipigo Kikali kwa Wamarekani
Sports

  Timu ya watoto wa kike wanaoishi katika mazingira magumu kutoka Tanzania, imewatandika timu ya watoto kama hao kutoka Marekani, kwa mabao 5-0 katika mashindano ya Street Children World Cup na kutinga hatua ya nusu fainali. Katika mashindano hayo yaliyoandaliwa na Shirika la Street Child United, timu ya watoto wa kike wa Tanzania imefanikiwa kutinga hatua hiyo ya nusu fainali, ikiwa haijapoteza mchezo hata mmoja naikiwa haijafungwa goli hata moja, na kuweka rekodi ya kipekee. Mchezo wa timu ya Tanzania dhidi...

Like
740
0
Monday, 14 May 2018