world cup

Hawa Hapa Wachezaji waliobeba Tuzo Kwenye Kombe la Dunia 2018
Sports

KIUNGO na Nahodha wa Timu ya Taifa ya Croatia, Luka Modric ameibuka mshindi wa Tuzo ya Mchezaji Bora wa Mashindano ya Kombe la Dunia mwaka 2018 na kupewa Mpira wa Dhahabu wakati timu yake ikipoteza mchezo wao wa fainali kwa kukubali kichapo cha bao 4-2 kutoka kwa Ufaransa huko Urusi.   Modric ambaye amemaliza mashindano akiwa na mabao mawili, ameisaidia timu yake kutinga fainali ikiwa ni mara ya kwanza kwa timu hiyo kufikia hatua hiyio kubwa ya kihistoria.   Staa...

Like
810
0
Monday, 16 July 2018
Angalia Ufaransa Walivyobeba Kombe la Dunia – Video
Sports

TIMU ya Taifa ya Ufaransa imefanikiwa kunyakua Ubingwa wa Dunia mwaka 2018 baada ya kuifunga Croatia kwa bao 4-2.   Mabao ya Ufaransa yamewekwa kimiani na Mario Mandzukic aliyejifunga, Antoine Griezmann aliyefunga kwa njia ya penati pamoja, Paul Pobga pamoja na Kylian Mpabbe. Wakati huo mabao ya Croatia yamepachikwa kimiani na Ivan Perisic pamoja na Mario Mandzukic aliyesahihisha makosa yake kwa kuifungia timu yake bao la pili. Ubingwa huo kwa Ufaransa unakuwa wa pili baada ya kuutwaa pia katika mashindano...

Like
1315
0
Monday, 16 July 2018
NI VITA KOMBE LA DUNIA,  URENO VS URUGUAY HUKU SPAIN WAKIKIPIGA NA URUSI
Sports

Baada ya kwenda sare ya bao 1-1 na Iran usiku wa jana, timu ya taifa ya Ureno sasa itakutana na Uruguay katika mchezo unaofuata ya 16 bora kwenye michuano ya Kombe la Dunia nchini Urusi. Mchezo huo ulimazika kwa sare hiyo huku nyota na nahodha wa Ureno, Cristiano Ronaldo akikosa penati ambayo ingeweza kuiongezea alama timu yake. Uruguay anayoichezea nyota Luis Suarez sasa itakuwa inakipiga na Ureno baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Urusi. Wakati huo...

Like
625
0
Tuesday, 26 June 2018