zanzibar

ZANZIBAR VIJANA WAHAMASISHWA KUOA WAJANE
Local News

Mke wa Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar, Asha Suleiman Iddi amesema wajane wengi wanaweza kuondokana na changamoto zinazowakabili iwapo vijana wataamua kuwaoa. Iddi alisema hayo katika utoaji wa zawadi kwa wanafunzi waliofanya vizuri katika mashindano ya kaswida yaliyoshirikisha madrasa 13 za Mkoa wa Mjini Magharibi. Alisema wakati umefika kwa wanaume kuona umuhimu wa kuoa kutokana na kuongezeka matukio ya ubakaji ambayo yanaitia aibu nchi. Iddi alisema jambo baya zaidi ni kuwa vitendo hivyo sasa vimehamia katika maeneo ya kusimamia...

Like
655
0
Monday, 18 June 2018
MAKAMU RAIS ZFA PEMBA AACHIA NGAZI
Sports

MAKAMU wa Rais wa Chama cha Soka Zanzibar (ZFA) Pemba, Ali Mohammed Ali, ametangaza rasmi kujiuzulu wadhifa huo. Makamu huyo ameungana na Rais wa chama hicho, Ravia Idarous Faina, Makamu wa Rais Unguja, Mzee Zamu Ali na Abdul Ghani Msoma. Akizungumza na waandishi wa habari Kisiwani Pemba, makamu huyo alisema hatua hiyo imekuja baada ya kujitathmini kwa kina na kuona tayari viongozi wenzake wameshaachia nyadhifa zao. “Baada ya kuona viongozi wenzangu wa juu wamejiuzulu nyadhifa zao, sina budi na mimi...

Like
610
0
Thursday, 14 June 2018