zidane

Zinedine Zidane aachia ngazi Real Madrid
Sports

Zinedine Zidane amesema anaachia ngazi Real Madrid siku tano baada ya kuwaongoza kushinda Ligi ya Mabingwa Ulaya. Zidane aliambia mkutano na vyombo vya habari kwamba kila kitu kinabadilika na kwamba hiyo ndio sababu ya uamuzi wake Anaondoka baada ya kuisaidia klabu hiyo kushinda mataji matatu ya klabu bingwa na taji moja la ligi ya La Liga tangu achukue hatamu mnamo mwezi Januari 2016. ”Naipenda klabu hii”, aliongezea. ”Kile ninachofikiria ni kwamba timu hii inafaa kuendelea kushinda ,lakini nadhani inahitaji mabadiliko...

Like
537
0
Thursday, 31 May 2018