TAMASHA LA KRISMASI KUHUDHURIWA NA MAKAMU WA RAIS DIAMOND JUBILEE

TAMASHA LA KRISMASI KUHUDHURIWA NA MAKAMU WA RAIS DIAMOND JUBILEE

Like
242
0
Monday, 14 December 2015
Local News

MAKAMU wa Rais  Mheshimiwa mama Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Tamasha la Krismasi linalotarajia kufanyika Desemba 25 kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es Salaam.

 

Tamasha hilo linakwenda sambamba na Shukrani kwa Mungu baada ya uchaguzi Mkuu uliofanyika Oktoba 25 kwa amani na utulivu, uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.

 

Askofu wa Kanisa la KKKT, Dokta Alex Malasusa amesema ni jambo jema kumshukuru Mungu baada ya uchaguzi Mkuu uliofanyika kwa amani na utulivu kiasi cha kumpata rais mchapakazi.

Comments are closed.