TAMASHA LA MCHIZI WANGU LAFANA JIJINI DAR ES SALAAM

TAMASHA LA MCHIZI WANGU LAFANA JIJINI DAR ES SALAAM

Like
557
0
Monday, 15 February 2016
Entertanment

93.7 Efm Radio,kuadhimisha tamasha kubwa la Mchizi wangu lililofanyika siku ya wapendanao tarehe 14/02/2016, likiongozwa na mziki wa mchiriku na singeli. Tamasha hilo lilisheheni Wasani kibao wakitumbuiza huku wakiongozwa na msaga sumu na skide mtoto wa mama shante.

Umati wa watu ukisheheni katika tamasha la mchizi wangu concert

 

Raisi wa singeli Suleiman Jabir a.k.a Msaga Sumu akitumbuiza mashabaki waliofika kwenye tamasha la Mchizi Wangu.

2

Amsha amsha kutoka kwa baadhi ya mashabiki wakionyesha nyuso za furaha wakati wakipata burudani.

3

Vijimambo vingine vilivyotokea katika tamasha hilo

4

Mmoja wa washabiki akiwa na kinywaji chake cha Kilimanjaro mkononi

5

Tuvituvitu vilivyojitokeza katika tamasha la mchizi wangu

6

7

1

 

Comments are closed.