TAMWA YAMPONGEZA DOKTA BILAL

TAMWA YAMPONGEZA DOKTA BILAL

Like
242
0
Monday, 20 April 2015
Local News

CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania-TAMWA,

kimempongeza Makamu wa Rais Dokta MOHAMED BILAL,kwa kutambua umuhimu wa kuchangia Elimu ya Mtoto wa Kike kwa kuchangia Shilingi Milioni 10.

Dokta BILAL amekuwa mfano wa kuigwa kutokana na mchango wake wa Shilingi Milioni 10 ili kuwarejesha shule watoto ambao wazazi wao wameshindwa kuwagharamia  masomo na kupambana na unyanyasajiwa jinsia.

Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA,VALERIA MSOKA,ameeleza hayo katika taarifa yake kwa Vyombo vya Habari.

Comments are closed.