TANESCO PAMOJA NA REA WAPELEKA WATAALAMU WILAYA YA MKULANGA

TANESCO PAMOJA NA REA WAPELEKA WATAALAMU WILAYA YA MKULANGA

Like
577
0
Wednesday, 22 October 2014
Local News

SHIRIKA la umeme nchini Tanesco kwa kushirikiana na wakala wa umeme vijijini -REA- wamefanikiwa kupeleka wataalamu wakutoa elimu ya matumizi sahihi na salama ya umeme katika vijiji vyote vya wilaya ya mkuranga ikiwa ni utekelezaji wa ahadi waliyoitoa kupitia kwa naibu waziri wa fedha ADAMU MALIMA.

Akizungumza na EFM Ofisini kwake jijini Dar es salaam meneja wa Tanesco kanda ya Pwani na Dar es salaam MAHENDE MUGAYA amesema kuwa wataalamu hao watatoa elimu kwa wananchi juu ya umuhimu wa kutumia umeme katika kujipatia maendeleo bila kuhatarisha maisha yao….…MGAYA

Hata hivyo Efm imemtafuta mkuu wa wilaya ya Mkuranga MERCY SILA ambaye amethibitisha kupokea wataalamu hao na wameahidi kuwa tayari katika kufanikisha lengo hilo….SILA

 

Comments are closed.