TANESCO YAONYA UFUNGAJI WA BENDERA ZA VYAMA KATIKA NGUZO

TANESCO YAONYA UFUNGAJI WA BENDERA ZA VYAMA KATIKA NGUZO

Like
395
0
Thursday, 22 October 2015
Local News

VITENDO vinavyofanywa na baadhi ya vijana  nchini vyakuweka bendera za vyama  mbalimbali vya siasa katika nguzo   na nyaya za umeme vimeelezwa kuwa vinahatarisha maisha yao.

 

Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) mhandisi FELCHESMI MRAMBA  ameimbia EFM kuwa ni wakati wa vijana kujithamini na kuthamini uhai wao badala ya kufanya vitu bila kufikiria athari zake .

Comments are closed.