TANESCO YAWATAKA WANANCHI KUFUATILIA KWA MAKINI TAARIFA ZINAZOTOLEWA NA SHIRIKA HILO

TANESCO YAWATAKA WANANCHI KUFUATILIA KWA MAKINI TAARIFA ZINAZOTOLEWA NA SHIRIKA HILO

Like
219
0
Monday, 07 September 2015
Local News

SHIRIKA la umeme Tanzania-TANESCO-limewataka watanzania kufuatilia kwa makini taarifa sahihi zinazotolewa na shirika hilo juu ya zoezi la uboreshaji wa huduma ya umeme linaloanza leo.

 

Akizungumza na kituo hiki, Meneja uhusiano wa Tanesco SEVELINE ADRIAN amesema kuwa oezi hilo litasaidia kuboresha kwa kiasi kikubwa huduma ya umeme na kwamba halitaathiri shughuli za wananchi kujiletea maendeleo.

Comments are closed.