TANGA: WAJASIRIAMALI WADOGO WAIOMBA OSHA KUTOA SEMINA YA MAFUNZO KILA MARA

TANGA: WAJASIRIAMALI WADOGO WAIOMBA OSHA KUTOA SEMINA YA MAFUNZO KILA MARA

Like
380
0
Monday, 23 May 2016
Local News

WAJASIRIAMALI Wadogo Jijini Tanga wameiomba wakala wa afya na usalama pahala pa kazi (OSHA) kutoa semina ya mafuzo kila mara hapa Nchini.

 

Wakizungumza na EFM RADIO baada ya kumalizika semina hiyo jana atika ukumbi wa mkuu wa mkoa, baadhi ya wajasiriamali hao wameishukuru OSHA kwa kutoa mafunzo hayo ambayo yatasaidia kwa kiasi kikubwa kuweza kujikinga na madhara yanayoweza kuzuilika atika jamii.

 

Kwa upande wake AKWILINA KATUMBA ambaye ni mtendaji mkuu wa wakala wa afya na usalama pahala pa kazi, amesema kuwa madhumuni makubwa ya kutoa mafunzo hayo ni kukuza uelewa wa usalama na afya kwa wajasiriamali wadogo.

Comments are closed.