TANZANIA KUSHIRIKI KIGALI MARATHON

TANZANIA KUSHIRIKI KIGALI MARATHON

Like
233
0
Monday, 13 April 2015
Slider

Tanzania yaingia kwenye orodha ya nchi zinazotarajiwa kushiriki kwenye mbio za Kigali Marathon May 23-24 huko Rwanda, huku nchi kadhaa zikialikwa.

Chama cha riadha nchini Rwanda (RAF) kimeeleza kuwa mbio hizo ni na msisitizo wa kudumisha amani kupitia michezo.wakimbiaji watashindana katika mbio ndefu (kilometa 42) na half marathon (kilometa 21) kwa upande wa wanawake na wanaume. Mbio hizo zitaanza uwanja wa Amahoro.

Wanariadha wengi kwa sasa wapo katika matayarisho na mashindano mbalimbali yakiwemo ya Olimpiki yatakayofanyika Rio de Janeiro, Brazil mwaka 2016.

Comments are closed.