TANZANIA YAFANIKIWA KUPUNGUZA VIFO VYA WATOTO CHINI YA MIAKA MITANO

TANZANIA YAFANIKIWA KUPUNGUZA VIFO VYA WATOTO CHINI YA MIAKA MITANO

Like
269
0
Thursday, 20 August 2015
Local News

IMEELEZWA kuwa Tanzania imefanikiwa kufikia miongoni mwa malengo ya millennia yakupunguza vifo vya watoto chini ya miaka mitano pamoja na vifo vya akina mama wakati wa kujifungua.
Hayo yamebainisha leo na mratibu wa maswala ya uzazi kutoka Wizara ya Afya Dokta Kokeleth Winani alipomwakilisha katibu mkuu wa wizara hiyo katika uzinduzi wa mtandao wa waandishi wa habari wa afya ya uzazi na jinsia.

Amesema kwa sasa katika kila vizazi elfu moja, watoto wanaopoteza maisha ni 54.

Comments are closed.