TANZANIA YAINGIZA BAADHI YA MIKATABA YA KIMATAIFA YA HAKI ZA BINADAMU KATIKA SHERIA

TANZANIA YAINGIZA BAADHI YA MIKATABA YA KIMATAIFA YA HAKI ZA BINADAMU KATIKA SHERIA

Like
293
0
Thursday, 10 December 2015
Local News

SERIKALI ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania ime amua kuingiza baadhi ya mikataba ya kimataifa ya haki za binadamu  katika sheria za Tanzania ili kuimarisha ulinzi wa haki za binadanu .

Hayo yamebainishwa leo jijini Dar es alaamu na makamu wa rais Mheshimiwa  SAMIA SULUHU  HASSAN  wakati wa maadhimisho ya nane ya kitaifa na siku ya haki za binadamu duniani.

Mheshimiwa SAMIA  pia amewataka watanzania kuanzisha kampeni maalumu  za kukuza maadili katika ngazi mbalimbali zikiwemo zile za utumishi  wa umma ,Taasisi za dini , Elimu na katika  nyanja zote za maisha ya kila siku .

Comments are closed.