TANZANIA YAPELEKA MADAKTARI SIERRA LEONE NA LIBERIA

TANZANIA YAPELEKA MADAKTARI SIERRA LEONE NA LIBERIA

Like
356
0
Thursday, 09 October 2014
Local News

Serikali Kupitia Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii imepeleka madaktari Watano kusaidia kutoa huduma za Kitabibu katika nchi zilizoathirika na Ugonjwa wa Ebola.Hapa Dokta MMBANDO anafafanua

Mbali na hayo MMBANDO ametoa tahadhari kwa Ugonjwa mpya uliojitokeza katika nchi ya Uganda ambao utapelekea kufungwa kwa mipaka kati ya Tanzania nchi hiyo

 

Comments are closed.