TANZANIA YAPOROMOKA KWENYE VIWANGO VYA FIFA

TANZANIA YAPOROMOKA KWENYE VIWANGO VYA FIFA

Like
479
0
Friday, 10 April 2015
Slider

Shirikisho la mpira wa miguu duniani FIFA limetangaza viwango vipya ambapo kushuka na kupanda kwa viwango kunatokana na mechi za kirafiki za kimataifa za Fifa zilizofanyika mwezi Machi , ambazo matokeo yake ni sehemu ya kigezo.

Tanzania, baada ya kutoka droo ya 1-1 na timu ya Malawi katika moja ya mechi hizo za kirafiki, imeshuka kutoka nafasi ya 100 mpaka ya 107.

Nchi 10 bora katika viwango vya fifa ni

1. Ujerumani

2. Argentina

3. Belgium

4. Colombia

5. Brazil

6. Netherlands

7. Portugal

8. Uruguay

9. Swizerland

10. Uhispania

Comments are closed.