Tanzia: Mtoto wa Munalove amefariki dunia

Tanzia: Mtoto wa Munalove amefariki dunia

Like
610
0
Wednesday, 04 July 2018
Local News

Familia ya Efm redio pamoja na @tvetanzania Inatoa pole kwa familia ya Muna kwa kuondokewa na Mtoto wao Patric. Mungu awatie nguvu katika kipindi hiki kigumu, Bwana ametoa na Bwana ametwaa Jina lake lihimidiwe #Amin #RiPpatrick

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *