TANZIA: PETER KUGA MZIRAY AFARIKI DUNIA

TANZIA: PETER KUGA MZIRAY AFARIKI DUNIA

Like
951
0
Wednesday, 21 March 2018
Local News

 

Aliyekuwa mgombea wa nafasi ya urais kwa tiketi yachama cha APPT Maendeleo, ambaye pia ni mwenyekiti wa baraza la vyama vya Siasa ndugu Peter Kuga Mziray amefariki dunia jana, Katika hospitali ya rabininsia Memorial iliyopo Tegeta ambapo alikuwa akipatiwa matibabu.

Comments are closed.