Tarehe kama ya leo na mwezi kama wa leo, Agost, 4 , 1961 alizaliwa Rais wa 44 wa Marekani, Barack Hussein Obama

Tarehe kama ya leo na mwezi kama wa leo, Agost, 4 , 1961 alizaliwa Rais wa 44 wa Marekani, Barack Hussein Obama

Like
514
0
Saturday, 04 August 2018
Global News

Tarehe kama ya leo na mwezi kama wa leo, Agost, 4 , 1961 alizaliwa Rais wa 44 wa Marekani, Barack Hussein Obama, huko Honolulu, Hawaii, Marekani.
Obama alikuwa Rais wa kwanza mwenye asili ya Afrika kushika nafasi hiyo ya urais nchini Marekani ambapo aliongoza taifa hilo kubwa Duniani kuanzia Januari 20, 2009 mpaka Januari 20, 2017 kupitia Chama cha Democratic Party, akichukua nafasi ya Rais George W Bushi.
Obama alishawai kuwa Senate wa Jimbo la Illinois kuanzia January 3, 2005 mpaka November 16, 2008.

Mke wake anaitwa Michelle Obama alimuoa mwaka 1992 na wamebahatika kupata watoto wawili, Malia na Sasha.
Alimaliza chuo mwaka 1983 na alibahatika kufanya kazi kwenye taasisi ya kijamii, Chicago.
Mwaka 2009 Obama alishinda Tuzo ya Nobel ya Amani WEWE UNAMKUMBUKA KWA LIPI ??

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *