TCRA YAKUTANA NA WAMILIKI WA BLOG DAR

TCRA YAKUTANA NA WAMILIKI WA BLOG DAR

Like
407
0
Tuesday, 11 November 2014
Local News

MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania-TCRA wamekutana na Wamiliki wa Blog nchini, jijini Dar es salaam kwenye mkutano wenye lengo la kujadili namna ya kuwashirikisha Wamiliki wa Blog kutoa Maoni Juu ya Kanuni zinazotengenezwa kwa ajili ya kusambaza Taarifa muhimu za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi wa Madiwani, Wabunge na Urais.

Akizungumza na Waandishi wa Habari Mkurugenzi Mkuu wa TCRA Profesa JOHN NKOMA amesema Maendeleo ya Teknolojia yameleta Muingiliano wa Mawasiliano na Kukuza matumizi ya Internet na ndio sababu Wamiliki wa Blog wamekuwa ni wadau muhimu.

 

Comments are closed.