TCRA YATOA RAI KWA VYOMBO VYA HABARI KUDUMISHA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

TCRA YATOA RAI KWA VYOMBO VYA HABARI KUDUMISHA AMANI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

Like
314
0
Monday, 19 October 2015
Local News

KAMATI ya maudhui ya mamlaka ya mawasiliano Tanzania –TCRA imetoa rai kwa vyombo vya utangazaji nchini  kuendelea kutangaza  habari zenye kudumisha amani ya watanzania kwa siku hizi chache zilizo baki kuhitimisha zoezi la upigaji kura.

Hayo yamebainishwa Jijini  Dar es salaam leo na Mwenyekiti wa kamati hiyo Bi MARGARET  MUNYANGI wakati akizungumza na waandishi wa habari juu ya mwenendo wa vituo vya utangazaji katika  kutangaza habari za kampeni za vyama vya siasa kupitia vituo vyao.

Comments are closed.