Team Nzima ya Efm Redio Yatua Kigoma, Yapokelewa Kifalme

Team Nzima ya Efm Redio Yatua Kigoma, Yapokelewa Kifalme

1
1919
0
Thursday, 06 September 2018
Mziki Mnene

Jioni ya leo team ya Efm Redio  imewasili mkoani kigoma kwa ajili ya kesho kwenye nje ndani ya Mziki Mnene

Wamepokelewa na wenyeji wao kwa furaha na Shangwe pale walipotua uwanja wa ndege mkoani humo na kukuta watu wengi wakiwa wamesimama pembeni mwa uwanja wa Ndege na kuwashangilia

Hizi ni Picha za Mpokezi hayo

Mwenye Genge @officiallyfido alipofunga mtaa na masisela kutokea Kigoma.

Mh. Diwani @officialbabalevo amefanikiwa kumchezesha kisingeli kibonge tozi @jabirsalehtherealest #MzikiMnene2018Kigoma #HatupoiHatuboi

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *