TEMEKE: WANANCHI WATAKIWA KUFICHUA WAUZAJI WA DAWA ZA KULEVYA

TEMEKE: WANANCHI WATAKIWA KUFICHUA WAUZAJI WA DAWA ZA KULEVYA

Like
310
0
Monday, 15 February 2016
Local News

JESHI la Polisi mkoa wa Kipolisi Temeke limewaomba wakazi wa maeneo hayo kutoa taarifa juu ya watu wanaohusika na uuzaji wa dawa za kulevya kwakuwa kimekuwa ni chanzo cha vijana kushindwa kujishughulisha.

Akizungumza na EFM Kamanda wa Polisi wa mkoa wa Temeke  Andrew Satta amesema kuwa kutokana na oparesheni inayoendelea ya kupambana na matumizi ya dawa za kulevya, jeshi hilo limegundua wauzaji wakubwa wa dawa hizo kukimbia na kwenda kujificha katika maeneo ya nje ya mkoa huo wa kipolisi.

Comments are closed.