Tetemeko Indonesia: Maeneo yaliyoathirika yafikiwa na huduma ya kwanza, idadi ya waliofariki yaongezeka

Tetemeko Indonesia: Maeneo yaliyoathirika yafikiwa na huduma ya kwanza, idadi ya waliofariki yaongezeka

Like
479
0
Wednesday, 03 October 2018
Global News

Maafisa nchini Indonesia wamesema kuwa wameweza kufikia wilaya zote nne zilizoathiriwa na tetemeko na tsunami mwishoni mwa juma lililopita katika kisiwa cha Sulawesi.

Lakini katika baadhi ya sehemu ni idadi ndogo ya vikosi vya uokoaji vimefika.

Misaada inapelekwa katika sehemu zilizoathiriwa, lakini wanakumbana na changamoto kubwa kuttokana na kuharibika kwa miundombinu.

Mpaka sasa zaidi ya watu 1,347 wamethibitishwa kufariki huku idadi hiyo ikitarajiwa kuongezeka.

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *