TETEMEKO KUBWA LA ARDHI LAIKUMBA AFGHANISTAN

TETEMEKO KUBWA LA ARDHI LAIKUMBA AFGHANISTAN

Like
207
0
Monday, 26 October 2015
Global News

TETEMEKO kubwa la Ardhi limeyakumba maeneo mengi ya kaskazini mwa Afghanistan, na kutikisa ardhi maeneo ya Pakistan na India.

Idara ya Utafiti imesema kuwa Kitovu cha tetemeko hilo lenye nguvu limetikisa katika maeneo mengi yenye milima mingi ya Hindu Kush, kilomita 45 kusini magharibi mwa Jarm.

Hata hivyo Maafisa wamesema tetemeko hilo lilitokea kutoka kilomita 212 ndani ya ardhi huku Nguvu za tetemeko hilo awali zimedaiwa kuwa 7.7 lakini baadaye kipimo kikashushwa.

Comments are closed.