TFDA YAZINDUA SEHEMU YA MAABARA YA UCHUNGUZI WA DAWA

TFDA YAZINDUA SEHEMU YA MAABARA YA UCHUNGUZI WA DAWA

Like
415
0
Friday, 04 September 2015
Local News

MAMLAKA ya Chakula na Dawa Tanzania -TFDA imezindua sehemu muhimu ya maabara ya uchunguzi wa dawa ijulikanayo kama Microbiology Laboratory ambayo imelenga kutumika kwa ajili ya kuchunguza vijidudu  hatarishi kwa afya ya binadamu kwenye chakula, dawa, vifaa tiba pamoja na vipodozi.

Akizungumza na Waandishi wa habari Jijini Dar es Salaam leo baada ya uzinduzi huo, Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka hiyo HIITI SILLO, amesema kuwa uchunguzi utakaofanyika katika maabara hiyo utakidhi vigezo vya uchunguzi wa kimataifa kwa mujibu wa viwango vya shirika la Afya duniani.

T2

T

Comments are closed.