TGNP YAWATAKA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA KUHUSISHA SUALA MAJI KATIKA SERA ZAO

TGNP YAWATAKA VIONGOZI WA VYAMA VYA SIASA KUHUSISHA SUALA MAJI KATIKA SERA ZAO

Like
162
0
Wednesday, 19 August 2015
Local News

MTANDAO wa jinsia Tanzania TGNP umeandaa warsha iliyowashirikisha wanaharakati wa masuala ya maji safi na mazingira kutoka maeneo mbalimbali ambapo wamewataka viongozi wa vyama vya siasa kuhusisha suala la maji katika sera zao.

Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Dar es salaam katika warsha hiyo Mkurugenzi wa TGNP LILIAN LIUNDI amesema kuwa maji ni tatizo sugu ambalo huwaathiri sana wanawake.

Comments are closed.