THE GAME: BADO NATUMIA MKWANJA WA G-UNIT

THE GAME: BADO NATUMIA MKWANJA WA G-UNIT

Like
554
0
Friday, 03 July 2015
Entertanment

Rapa The Game ambae hapo nyuma aliwahi kuwa member wa kundi la G-Unit amesema kuwa richa ya yeye kutokuwepo kwenye kundi hilo kwa sasa lakini bado anatumia mafanikio anayoyapata kifedha kutokana na kazi za kundi hilo.

Akiongea wakati wa hafla ya awali kabla ya tuzo za BET kufanyika amesema “Nina dola milioni 30n mfukoni bado natumia mkwanja kutoka G-Unit richa ya kutosikika kwenye redio “.

The Game amekuwa na mahusiano mabaya na boss wa kundi hilo 50 Cent nah ii ni moja kati ya sababu zilizofanya asihusike pindi kundi hilo lilipoundwa tena.

Comments are closed.