THRDC YAKUTANA NA JESHI LA POLISI NA KUWEKA MIKAKATI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

THRDC YAKUTANA NA JESHI LA POLISI NA KUWEKA MIKAKATI KUELEKEA UCHAGUZI MKUU

Like
326
0
Tuesday, 28 October 2014
Local News

Katika kuelekea kipindi cha Uchaguzi Mkuu wa mwakani Taasisi ya kutetea haki za binadamu nchini,THRDC wamekutana na Jeshi la Polisi kwa lengo la kutengeneza na kuboresha Mikakati madhubuti ya kufanikisha Uchaguzi huo kuwa wa Huru, Haki na Utulivu.

 

Akizungumza na Waandishi wa Habari katika Mkutano huo jijini Dar es salaam,Makamu Mkuu wa Jeshi la polisi ABRAHAM KANIKI amesema watahakikisha wanashirikiana vyema na wadau hao ili kuhakikisha madhara hayatokei kwa wananchi

Comments are closed.