THRDC YATOA RIPOTI YA UTEKELEZAJI WA MAPENDEKEZO 107 YA HAKI ZA BINADAMU

THRDC YATOA RIPOTI YA UTEKELEZAJI WA MAPENDEKEZO 107 YA HAKI ZA BINADAMU

Like
230
0
Thursday, 17 September 2015
Local News

MTANDAO wa watetezi wa haki za binadamu nchini (THRDC) umetoa ripoti kuhusu utekelezaji wa mapendekezo 107 ya haki za binadamu yaliyofanyika na kuridhiwa na makundi mbalimbali.

Hayo yamebainishwa katika mkutano na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam na mkurugenzi wa mtandao huo unaojumuisha asasi 80 zinazojiusisha na utetezi wa haki za binadamu, ONESMO OLENGURUMA ambapo amesema mchakato huu utakuwa endelevu ili kuhakikisha haki za binadamu zinapewa kipaumbele zaidi.

Comments are closed.