TIGER WOODS ATANGAZA KUPUMZIKA GOFU KWA MUDA

TIGER WOODS ATANGAZA KUPUMZIKA GOFU KWA MUDA

Like
354
0
Thursday, 12 February 2015
Slider

 Eldrick TontTigerWoods alizaliwa Dec 30 mwaka 1975 raia wa marekani mchezaji wa gofu, Tiger woods aliwahi kushikilia rekodi ya kuwa mwanamichezo mwenye mkwanja mrefu duniani kwa miaka kadhaa.

Mwanamichezo huyu ametangaza kupumzika kidogo kwenye michezo hiyo ya gofu kwa muda usiojulikana.

Maaamuzi haya ya Tiger Wood yanakuja kufuatia matokeo mabovu aliyoyapata kwenye michuano yake.

Mchezaji huyo mahili duniani ameeleza kuwa kwa sasa anahitaji kupumzika na kuwa karibu na watu.

Tiger wood amesema atarejea kwenye tasnia ya mchezo huo pindi atakapokuwa tayari kurejea na kuhakikisha anafanya vizuri

_80690765_tiger4_reu williams-steve-scott-adam-110511-640x360_0

 

Comments are closed.