TIMBUKTU: RAIA WA UHOLANZI ALIETEKWA NYARA AKOMBOLEWA

TIMBUKTU: RAIA WA UHOLANZI ALIETEKWA NYARA AKOMBOLEWA

Like
230
0
Tuesday, 07 April 2015
Global News

RAIA wa Uholanzi ambaye aliyetekwa nyara miezi Minne iliyopita na mtandao wa kigaidi wa AQIM, huko  Timbuktu Kaskazini mwa Mali amekombolewa leo katika operesheni za kijeshi za Ufaransa.

Wizara ya mambo ya nje ya Ufaransa imesema mateka SJAAK RIJKE, ambaye ametekwa Novemba 25,2011 amekombolewa baada ya kufanyika Operesheni ya Kikosi Maalum cha jeshi la taifa hilo.

Taarifa hiyo imesema kuwa operesheni hiyo vilevile imefanikisha kutiwa mbaroni kwa watu wengine kadhaa.

MAL33 MALI2

Comments are closed.