TIWA SAVAGE NI MJAMZITO!!

TIWA SAVAGE NI MJAMZITO!!

Like
329
0
Friday, 02 January 2015
Entertanment

Mwimbaji kutoka Nigeria huenda mwaka 2015 ukawa mwaka mzuri zaidi kwake mara baada ya kupost picha kwenye mtandao wa Instagram akiwa na mumewe Tunji TJ Balogun huku wameshika viatu vya mototo.

Huku caption ya picha hiyo ikithibitisha kuwa Tiwa ni mjamzito.

Huyu atakuwa motto wa kwanza kwa mwimbaji huyo lakini mumewe tayari amebahtika kuwa na watoto wawili kutoka kwenye mahusiano yake yaliyopita

Comments are closed.