TONY BLAIR AJIUZULU NAFASI YA UJUMBE KATIKA KAMATI YA USULUHISHI WA MGOGORO WA MASHARIKI YA KATI

TONY BLAIR AJIUZULU NAFASI YA UJUMBE KATIKA KAMATI YA USULUHISHI WA MGOGORO WA MASHARIKI YA KATI

Like
242
0
Thursday, 28 May 2015
Global News

WAZIRI MKUU wa zamani wa Uingereza Tony Blair amejiuzulu nafasi ya ujumbe wa umoja wa kimataifa katika kamati inayoshughulikia usuluhishi wa mgogoro wa Mashariki ya kati, unaohusisha nchi ya Israel na Palestina nafasi ambayo ameitumikia kwa kipindi cha miaka nane.

Vyanzo vya habari vilivyokaribu na Blair vinasema ataendelea kuwepo akijihusisha na baadhi ya shughuli katika eneo hilo.

Afisa mmoja wa Palestina amemlaumu Blair kwa kufanya kazi ili kuwaridhisha waisrael na Marekani. Umoja huo unaundwa na UN, EU nchi ya Marekani na Urusi.

 

Comments are closed.