TOP 3 YA MASTAR WA BONGO WENYE FOLLOWERS WENGI INSTAGRAM

TOP 3 YA MASTAR WA BONGO WENYE FOLLOWERS WENGI INSTAGRAM

Like
1247
0
Thursday, 15 January 2015
Entertanment

instagram ni miongoni mwa mitandao ya kijamii inayokuwa kwa kasi kote duniani kwa sasa,

kwa hapa kwetu Tanzania wasanii na watu maarufu ni miongozni mwa watu wenye ushawishi mkubwa katika jamii, sasa kama unafuatilia mitandao hiyo kiundani hii ni top 3 ya wasanii wenye followers wengi hapa Bongo

namba moja 1.. inakamatwa na Diamond

di

wakati namba mbili inashikiliwa na wema Sepetu

wema sepetuu78

huku namba tatu ikiwakilishwa na Lulu

Screen Shot 2014-01-26 at 22.26.20

Comments are closed.