TRACY MORGAN KUTANGAZA SNL

TRACY MORGAN KUTANGAZA SNL

Like
196
0
Tuesday, 18 August 2015
Local News

Muigizaji Tracy Morgan amerejea kazini, atakuwa akitangaza moja kati ya show za kwanza katika kipindi cha Saturday Night Live. Kituo cha NBC kimetangaza mastar wa kwanza watakaoongoza kipindi hiki ambao ni Miley Cyrus, Amy Schumer, and Tracy. Kupitia akaunti yake ya Twitter ametweet akionyesha kuwa mwenye furaha na imara kabisa kiafya akiwa tayari kushiriki kwenye SNL Tracy amekuwa kimya kwa muda baada ya kupata ajali ya gari mwaka mmoja uliopita

Comments are closed.