TRUMP APETA MAJIMBO MUHIMU MAREKANI

TRUMP APETA MAJIMBO MUHIMU MAREKANI

Like
314
0
Wednesday, 16 March 2016
Global News

DONALD TRUMP amepiga hatua katika kukaribia kutwaa tiketi ya kuwania urais kupitia chama cha Republican nchini Marekani baada ya kushinda mchujo katika majimbo matatu makubwa, likiwemo jimbo la Florida.

 

Bilionea huyo kutoka New York ameshinda majimbo ya Illinois na North Carolina.Hata hivyo ameshindwa na John Kasich katika jimbo la Ohio.

 

Mgombea anayeongoza chama cha Democratic Hillary Clinton naye amepanua uongozi wake kwa kupata ushindi majimbo ya Florida, Ohio, Illinois na North Carolina.

Comments are closed.