TWEET ZA DAVIDO BADO KITENDAWILI

TWEET ZA DAVIDO BADO KITENDAWILI

Like
415
0
Wednesday, 07 January 2015
Entertanment

Kupitia mtandao wa twitter Davido mkali kutoka Nigeria jana alionyesha kuchikizwa na mtu ambae hakumtaja jina lake wala kumuweka wazi

Katika tweet hizo Davido ameongea maneno mazito yaliyoonyesha jinsi gani amekwazika

davido2

Wakati hayo yakiendelea mkali kutoka Tanzania Diamond amechaguliwa kutumbuiza kwenye Tuzo za wanasoka bora barani Afrika ‪#GloCafAwards zitakazofanyika huko Lagos Nigeria, Tunamtakia kila heri ili aweze kuipeperusha bendela kimataifa zaidi

dai

Comments are closed.