TWENDE SAWA: EFM KUADHIMISHA MWAKA MMOJA

TWENDE SAWA: EFM KUADHIMISHA MWAKA MMOJA

Like
292
0
Monday, 16 March 2015
Local News

KATIKA kusheherekea mwaka mmoja tangu kuanzishwa kwa kituo hiki cha Efm – 93.7, tarehe 2/4/2014 , imeelezwa kuwa zawadi mbalimbali zitatolewa kwa wasikilizaji wa Radio hii ambayo imejipatia umaarufu mkubwa Katika kipindi cha muda mfupi, ikiwa ni sehemu ya kutoa shukrani kwa wasikilizaji wake.

Akizungumza na wandishi wa Habari jijini Dar es salaam leo, Meneja wa Mawasiliano wa Efm, Denis Ssebo, amesema Sherehe hizo ambazo zimepewa kauli mbiu ya Twende sawa zitachukua takribani miezi miwili na zitakuwa na matukio mengi  kama matamasha na vitu vingi mbalimbali kwa ajili ya kuwaweka karibu na kulipa fadhila kwa wasikilizaji wake.

20150316_105735 20150316_105728 20150316_105719 20150316_105710 20150316_105504 20150316_105456 20150316_105411 20150316_105356 20150316_105343 20150316_105317 20150316_105246 20150316_105232 20150316_105201 20150316_105022 20150316_104952 20150316_104927 20150316_104855 20150316_104840 20150316_104811 20150316_104739

Comments are closed.