TWIGA STARS KUSHUKA DIMBANI LEO KUKIPIGA NA MIGHTY WARRIORS

TWIGA STARS KUSHUKA DIMBANI LEO KUKIPIGA NA MIGHTY WARRIORS

Like
289
0
Friday, 04 March 2016
Slider

Leo wanawake wa shoka ‘Twiga Stars’, wanashuka katika dimba la Azam Complex Chamazi kukipiga na timu ya Taifa ya Wanawake kutoka Zimbabwe (Mighty Warriors) katika mchezo wa kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa ya Afrika

Twiga Stars inayonolewa na kocha mzawa Nasra Juma imejipanga vilivyo kuwakabili wazimbabwe katika mechi hiyo kwa mujibu wa kocha huyo.

Watanzania wameombwa kujitokeza kwa wingi kutoa sapoti na hamasa kwa kikosi hiko katika mchezo wake

Tunawatakia kila heri katika kuleta ushindi nyumbani

Comments are closed.