UBALOZI WA UINGEREZA NCHINI KUANZA KUTOA MAFUNZO KWA JESHI LA POLISI NA MAHAKAMA

UBALOZI WA UINGEREZA NCHINI KUANZA KUTOA MAFUNZO KWA JESHI LA POLISI NA MAHAKAMA

Like
356
0
Monday, 09 March 2015
Local News

UBALOZI wa Uingereza nchini leo umekutana na wadau mbalimbali ikiwemo Jeshi polisi na Mahakama kwa lengo la kutoa mafunzo yatakayowasaidia katika utendaji kazi wao wa kila siku kwa manufaa ya Taifa.

Akizungumza wakati wa utoaji mafunzo hayo leo jijini Dar es salaam mshauri mkuu wa masuala ya kimahakama kutoka Ubalozi huo LINDSEY MCNALLY amesema kuwa mafunzo hayo ni muhimu kwa kuwa yatasaidia kutatua kwa haraka kesi nyingi za kimahakama zinazochukua muda mrefu.

 

Comments are closed.