UBELGIJI YAMPELEKA UFARANSA MSHUKIWA WA PARIS

UBELGIJI YAMPELEKA UFARANSA MSHUKIWA WA PARIS

Like
268
0
Wednesday, 27 April 2016
Global News

SALAH ABDESLAM , anayetuhumiwa  kuchukua  nafasi  ya juu  katika mashambulizi  ya  mjini  Paris ambayo yamesababisha  watu  130  kuuwawa, anafikishwa mahakamani  nchini  Ufaransa  leo, kwa mtazamo  wa kuwekwa  chini  ya  uchunguzi  rasmi.

 

Hatua  hiyo inakuja  baada  ya  Abdeslam  kupelekwa nchini  Ufaransa  kutoka  Ubelgiji  mapema  leo Jumatano.

Mtuhumiwa  huyo  aliwasili  nchini  Ufaransa  mapema  leo asubuhi.

Comments are closed.